Uzi wa kutupia picha za wanaume mahandsome!!!

Uzi wa kutupia picha za wanaume mahandsome!!!

741788927f04b2f9c5fd1f813974d637.jpg
me mwenyewe handsome vile vile
Hahahahaa. Raha jipe Mwenyewe. Umetisha
 
Hahahah Amina shostii,.maisha yenyewe yako wapi haya yakujinyima,...tunapambana Mungu akitupa basi si vibaya kujilia mema ya nchi ukiwa na uwapendao,haha kwani shin' ngapi eti,.aaah tuombeane tuu mwaya afya njema na mafanikio[emoji8]
Kweli kabisa my dear. Na ndio kilichobakia hicho.

Uwe na asubuhi njema rafiki. [emoji8]
 
Back
Top Bottom