Uzi wa kutupia picha za wanaume mahandsome!!!

Tatizo wale wanaume wazuri wana sifa ya kugawa Tigo, sijuwi kwanini...
 
Hahahaaaa. Usinikumbushe jamani. Mi mwenyewe situmii beauty plus ila mwanaume anatumia jamani
Niliingia ig account ya Nyoshi siddat kama sikosei jaman picha zake anatumia Beauty plus nikasema makubwaaaaa
 
una upload picha za warembo unasema ma handsome , watu full kujipiga madawa kwenye nywele mpaka kope halafu unamwita handsome, dah kweli wanawake wa kiafrika mnapenda kuibiwa
Ndo nishampenda hivyo


Napita Kwa upendo wa dhati
 
Demiss naona umeweka vice versa, ya ule uzi wa kutupia demu mkali,,

ngoma droo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…