Uzi wa kutupia picha za wanaume mahandsome!!!

Uzi wa kutupia picha za wanaume mahandsome!!!

59a5fd6db668779243ded66f53e52cba.jpg
Kumwanyina nani kaweka hii?
 
Mwanaume pesa sura Hata Mbuzi anayo [emoji85][emoji85][emoji3]
Imeandikwa Fedha ni jawabu la mambo yote [emoji108]
Kuna wanawake walioingia Kwenye mahusiano ya ndoa kwa kuangalia sura ya mwanaume Ili hali waume hao hawana pesa Hata ya kuweza kujikimu na familia Mwaka wa kwanza, wa pili n.k mwisho wa siku ndoa hizo zimeishia kivunjika kwa asili!
Rejea ndoa ya Madam Florah Mbasha, Joyce Kiria na wengine wengiiiii!
Wadada unapotaka kuolewa usianze kwa kuangalia sura ya mwanaume badala Yake angalia upendo, uaminifu, Ucha Mungu, uwezo wa kuweza kupata pesa ya kujikimu na familia n.k
Kuanzia leo nafuta kigezo cha sura[emoji23]
 
Back
Top Bottom