Uzi wa kutupia picha za wanaume mahandsome!!!

Uzi wa kutupia picha za wanaume mahandsome!!!

Mimi kuna kila dalili ya kumuacha huyu nilie nae japo yeye haonyeshi kupenda pesa ila anajifanya ubize sana kiasi kwamba hata hiyo papuchi kuipata inachukua mpaka miezi mitatu,hii sasa ni likizo wazee.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi kuna kila dalili ya kumuacha huyu nilie nae japo yeye haonyeshi kupenda pesa ila anajifanya ubize sana kiasi kwamba hata hiyo papuchi kuipata inachukua mpaka miezi mitatu,hii sasa ni likizo wazee.
Mkuu hawawezi kukuonyesha moja kwa moja. Vinaanza visa kama ivyo anakubania papuchi kwa sababu anajua utajiuliza sasa maugumu yangu nitayatolea wapi.? Kwa hiyo anakulazimisha uanze kufikiria nje ya box kupunguza maukaka.
 
Alikua anajua fika atatumika bila hata pole ya karatasi,mana pole za mdomo tushazizoea[emoji23][emoji23]aljua atapigika af asipate hata kipozeo
Hehee.. Hakuna aliyezaliwa anayo pesa. Nilichopata kidogo nampa lakini akaona haitoshi anataka zaidi. Sikuona sababu kumzuia kwenda kupata kile anacho kitaka. Though kwenye mgegedo si tunapata raha wote.
 
Mkuu hawawezi kukuonyesha moja kwa moja. Vinaanza visa kama ivyo anakubania papuchi kwa sababu anajua utajiuliza sasa maugumu yangu nitayatolea wapi.? Kwa hiyo anakulazimisha uanze kufikiria nje ya box kupunguza maukaka.
Nimewahi kumpa kadi mbili za njano akaomba msamaha yakaisha sahizi anaenda kula redcard tena siku ya wapendanao kabisa[emoji120] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kuna wakati papuchi iliingia kumoyo kabisa ikabidi nisake chemba sasa na Mimi nitamwonyesha kuwa najua kuzitafuta papuchi.
 
Back
Top Bottom