MAPUMA MIYOGA
JF-Expert Member
- Jan 30, 2013
- 3,792
- 2,365
Hivi kwanini hujakamatwa na wasiojulikana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kwanini hujakamatwa na wasiojulikana?
Sijui ndo yule DesmondAnatoka na mkaka gani?
Sawa tuAhahhahaha tutasemwa shogaaa
Weka picha basiSijui ndo yule Desmond
Ngoja nimlete.Weka picha basi
Kanenepaaa kaharibikia hua mzurii,,wameanza lini na Recho?mbona sioni recho hata akirushwaNgoja nimlete.
Recho ndo anamrushaga.Kanenepaaa kaharibikia hua mzurii,,wameanza lini na Recho?mbona sioni recho hata akirushwa
Hakuna Mtanzania unayemkubali?Hapana van vicker mzuri lakin mfupi ila
Kuna huyu View attachment 689150 najiulizaga hivi zari hakumuona huyu kaka bank wiliam anatangaza pia coka ameoa huyu mkaka jamani huyo mwanamke dahaa ana bahati
Kumrusha mtu ambae hakurushi kazi sanaRecho ndo anamrushaga.
Hahaaaaa akyanani nimecheka hatariUtacheka mpaka ufeee wachache sana wanatazamika ,,hutaamini kama ndio hawa wanatoaga mapovu jf[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna Mtanzania unayemkubali?
Ila mito kwanini unanifanyia hivyo jamani pm zangu hujibuHahaaaaa akyanani nimecheka hatari
Eeh mbona sijaona PM yako rafiki, hebu basi resend ntakujibu sasa hiviIla mito kwanini unanifanyia hivyo jamani pm zangu hujibu
Huyu bado kidogo tu anifikie, teh!View attachment 689176 wengi tu sema wengine sio maarufu
Huyu ni Mtz
Unajua ukisema tu hivyo unanichanganya akili zangu zinakua za usiku tu mieHuyu bado kidogo tu anifikie, teh!
Haya ngojaEeh mbona sijaona PM yako rafiki, hebu basi resend ntakujibu sasa hivi
Sasa si mwenzie hataki kumclaim in public.Kumrusha mtu ambae hakurushi kazi sana
Ni ubinafs wa hali ya juu
Mkuu na mm nimoo [emoji30][emoji13]Utacheka mpaka ufeee wachache sana wanatazamika ,,hutaamini kama ndio hawa wanatoaga mapovu jf[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]