Uzi wa kutupia picha za wanaume mahandsome!!!

Uzi wa kutupia picha za wanaume mahandsome!!!

Mmmmh mzuri kama nani toa mfano tulinganishe nisije ona wa kawaida tu
Ni mrefu km wacheza básket, ana body flani hivi hiyo misuli sasa, ana sura ya kiume sio nzuri wala sio mbaya ana rangi flani ya kahawia ni pande la mtu anafaa kuwa model sema ndo hivyo bongo bahati mbaya tu
 
6bca5804b406570d5616224fdce81a86.jpg
 
Kutokana na kipaji changu cha kutabiri, nayaona yafuatayo kwako:
1. Umeshika simu yako ya mkononi.
2. Unasoma hii habari.
3. Wewe ni binadamu hai kabisa.
4. Huna jeuri ya kusema neno PIPI bila kufungua mdomo.
5. Ha ha ha nakuona umejaribu kusema neno PIPI.
7. Unajicheka mwenyewe.
8. Nimeona meno yako.
9. Unatabasamu!
10. Umeruka namba 6.
11. Ha ha ha ha unacheki kama kuna namba 6.
12. Umetabasamu!
....Nilipe gharama ya utabiri
 
Aisee... nyuzi nyingine! Any way kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake. JF imebadilika sana.
 
Mwanadada yeyote anayejiamini hapa Jf.

Aje pm kuchukua picha zangu kisha aziweke hapa kwa uzi...Ahsanteni kwa usikivu.
 
Back
Top Bottom