Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Ni mrefu km wacheza básket, ana body flani hivi hiyo misuli sasa, ana sura ya kiume sio nzuri wala sio mbaya ana rangi flani ya kahawia ni pande la mtu anafaa kuwa model sema ndo hivyo bongo bahati mbaya tuMmmmh mzuri kama nani toa mfano tulinganishe nisije ona wa kawaida tu