Uzi wa kuulizana maswali ya kijinga.

Uzi wa kuulizana maswali ya kijinga.

Mimi nauliza hivi
Eti Moderators wanaoongoza kwa kupiga BAN watu huwa ni wa jinsia gani??

Halafu swali la nyongeza nauliza hvi
Hivi kuna tfauti gani mtu akicheka Ha ha ha ha ha ha ha na mtu akicheka teh teh teh teh teh
 
Watu tuna stress hadi tumekuja kujichimbia hapa.

Anyway kutoka Dar es Salaam mpaka Tanzania na kutoka Tanzania mpaka Dar es Salaam wapi mbali?
 
Inasemekana John Fukcing Komedi aliacha kuifundish Arsenal baada ya kufungwa na Kilimanjaro Stars kwenye kombe la Dunia.
Dah ule uwanja wa mkwakwani eti nasikia ulikuwa kisiwa kabla haujabadilishwa matumizi.
 
Back
Top Bottom