Uzi wa kuulizana maswali ya kijinga.

Uzi wa kuulizana maswali ya kijinga.

Si watoto tu hata watu wazima huulizana maswali ya kijinga. Hebu tuulizane. juzi kati nimepita sehemu nikakuta madingi wanaulizana.
"Eti Malaika ni ndege?". wakuu hivi Malaika ni ndege?
Malaika aliyeimba wimbo wa Sare au malaika anayezima mitandao? Kua specific sipotezi muda wangu kujibu maswali yasiyoeleweka.
 
Mimi nauliza hivi
Eti Moderators wanaoongoza kwa kupiga BAN watu huwa ni wa jinsia gani??

Halafu swali la nyongeza nauliza hvi
Hivi kuna tfauti gani mtu akicheka Ha ha ha ha ha ha ha na mtu akicheka teh teh teh teh teh
Hapa inabidi uangalie kama ban yako ina mahadhi ya kike au ya kiume. Kwa taarifa zaidi lipa kodi tra watakuelekeza.
 
Back
Top Bottom