Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Hapa inabidi alaumiwe makenika kwasababu balbu hata ikikomaa vipi nazi lazima zitajileta na kesho tena.Hivi ukioa samaki wa kesho, fundi makenika anazaliwa kengele alikuwa saa ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa inabidi alaumiwe makenika kwasababu balbu hata ikikomaa vipi nazi lazima zitajileta na kesho tena.Hivi ukioa samaki wa kesho, fundi makenika anazaliwa kengele alikuwa saa ngapi?
Asemwaye acholile kachola achole, acholile kachochora.Hivi ukiwa unaogelea chupi hulowa?
Haujakosea ni kweli kabisa. Na hata Mwananyamala Kisiwani, Kijitonyama Kisiwani, Msasani Kisiwani ni visiwa pia.Dah ule uwanja wa mkwakwani eti nasikia ulikuwa kisiwa kabla haujabadilishwa matumizi.
Una akili sana. Lakini hapana Kenge ni mtoto wa Godzilla yeye na mamba ni mtu na mkweweHivi kenge ni mtoto wa mamba
Hapana Kenge alihama kutoka kwenye jamii ya Viboko baada ya kuona uteuzi umezidi.Hivi kenge ni mtoto wa mamba
Malaika aliyeimba wimbo wa Sare au malaika anayezima mitandao? Kua specific sipotezi muda wangu kujibu maswali yasiyoeleweka.Si watoto tu hata watu wazima huulizana maswali ya kijinga. Hebu tuulizane. juzi kati nimepita sehemu nikakuta madingi wanaulizana.
"Eti Malaika ni ndege?". wakuu hivi Malaika ni ndege?
Hapa inabidi uangalie kama ban yako ina mahadhi ya kike au ya kiume. Kwa taarifa zaidi lipa kodi tra watakuelekeza.Mimi nauliza hivi
Eti Moderators wanaoongoza kwa kupiga BAN watu huwa ni wa jinsia gani??
Halafu swali la nyongeza nauliza hvi
Hivi kuna tfauti gani mtu akicheka Ha ha ha ha ha ha ha na mtu akicheka teh teh teh teh teh
Jiwe la Fatuma haliozi mdogo wangu, hivyo tanabaisha vyema ni jiwe la aina gani.Hivi jiwe linaoza au linadumu milele?
Jiwe hili hiliJiwe la Fatuma haliozi mdogo wangu, hivyo tanabaisha vyema ni jiwe la aina gani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]sijajua. ila nasikia mawe huwa yanakua. hivi ni kweli?
Kivipi sasa na wakati mjusi guruguja ndiye aliyetoa posa?inamaana Kenge kaoa mtoto wa mamba?
Hili hili inaonekana tutakesha nalo kwa sababu lina kazi nyingi kwanza ni malaika pia ni dereva.Jiwe hili hili
Hapana Kenge alihama kutoka kwenye jamii ya Viboko baada ya kuona uteuzi umezidi.
Ili ugegedweHivi kwann nilizaliwa mwanamke?
Hivi kwann nilizaliwa mwanamke?