Jibu ni hapana.Si watoto tu hata watu wazima huulizana maslahi ya kijinga. Hebu tuulizane. juzi kati nimepita sehemu nikakuta madingi wanaulizana.
"Eti Malaika ni ndege?". wakuu hivi Malaika ni ndege?
Inasemekana John Fukcing Komedi aliacha kuifundish Arsenal baada ya kufungwa na Kilimanjaro Stars kwenye kombe la Dunia.Hivi John F Kennedy aliacha kuifundisha lini Arsenal?
Kijiwe cha wahuni kinachozuga kinajua mpira.Hivi Taifa Stars ni timu?
Neema Mwapachu hapana, labda NaneNane umuwahi New York.Etinikweli Neymar ameonekana sabasabaleo?.
Dah ule uwanja wa mkwakwani eti nasikia ulikuwa kisiwa kabla haujabadilishwa matumizi.Inasemekana John Fukcing Komedi aliacha kuifundish Arsenal baada ya kufungwa na Kilimanjaro Stars kwenye kombe la Dunia.
Wazazi hugewa ruhusa ya kuchagua jinsi ya mtoto kwa kufanya kipimo cha akili za mtoto kabla hajazaliwa.Hivi kwann nilizaliwa mwanamke?
Hapana siyo kisanduku ni Kibegi kama cha Country BoyEti aliyeleta uzi huu ni kisandu?