Uzi wa kuulizana maswali ya kijinga.

Dadii.... Hii ni ninii.... Dadii hii nanii ni ya kwanguu.... Ni tamuuu....
Dadii hii nanii inaliwa.... Niirambee!!??
Dadii... Niikalie...
Dadii... Nikiikalia utanichapa...!!??

Kwani ukinichapa itauma....

Kwani ukinichapa ntaumia....

Kwani..... hiyo nanii ya Dadii ni nini..!!??

Atayejibu sawasawa atapata zawadi.
 
Samahani,Yohana ni President wa Chattle au Tanzania?
 
hii ni remote mkuu ya dstv world cup sa hvi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…