Gentleman P
JF-Expert Member
- May 23, 2018
- 370
- 453
ili uchapwe mitiHivi kwann nilizaliwa mwanamke?
MEMKWA ya Ujiji mimi ndiyo nilikua kinara darasani hivyo sina budi kuchangia elimu yangu ya juu kuwajibu maswali wenzangu.Sikujua kama una vituko namna hii.... nakupa tiketi ya kwenda kufundisha Alliens kule Space.
Leo ni siku ya 27 katika mwezi hiyo ni kwakua leo ni saba saba na kwakua saba zipo mbili kimahesabu tunaanza kuandika namba hii kisha inafuata saba. Hivyo basi kaa usubiri mshahara wa mwezi huu.Leo lini??
kijana fanya ujue lugha zingine, hiko ni kikoreaNimekupa like lakini sijaambulia kitu
Bora ungesema MKUU Maana ujana umeniacha miaka mingi sanakijana fanya ujue lugha zingine, hiko ni kikorea
hpn leo ni sikukuu ya wavuta bangi wa jf na leo ni siku yao ya kusheherekea na huu ni uzi wao specialLeo ni siku ya 27 katika mwezi hiyo ni kwakua leo ni saba saba na kwakua saba zipo mbili kimahesabu tunaanza kuandika namba hii kisha inafuata saba. Hivyo basi kaa usubiri mshahara wa mwezi huu.
ujana ndo nn au ndo upungufu wa kingaBora ungesema MKUU Maana ujana umeniacha miaka mingi sana
By the way Asante
Eh! sijasema unitukane mkuu ila nimeuliza tu Kwa nini mtu akitukanwa hukasirika? Au niongeze kwanini mtu akikasirika hutukana?we ni m.se.nge wanaume wote wa dar wamekupitia .
haya tusi hilo hapo
Ulikuwa kinara wa fujo,chabo au watoro?MEMKWA ya Ujiji mimi ndiyo nilikua kinara darasani hivyo sina budi kuchangia elimu yangu ya juu kuwajibu maswali wenzangu.
Naona waalimu mmehamia humuujana ndo nn au ndo upungufu wa kinga
Samahani sana kwa kukukwaza. Kutokana na nature ya uzi sikuona kama kuna ubaya kuandika hivyo.Bora ungesema MKUU Maana ujana umeniacha miaka mingi sana
By the way Asante
Una akili sana ukikazana kimasomo utakua nesi.hpn leo ni sikukuu ya wavuta bangi wa jf na leo ni siku yao ya kusheherekea na huu ni uzi wao special
Asante kwa swali lako.Hivi kwanini mtu akitukanwa hukasirika,kwani matusi yanafanyaje?
Sikiza we binti kashangae feri shilingi inazama meli inaeleaNanashangaaga.... Kwanini mwanaume akiambiwa wewe mama tuu anakasirika wakati hata sio mama na wala habadiliki kuwa mama.... Huwa sielewi....
Au na wewe huwa unakasirika??
No no no I was have beautiful brain than all humans in my class. Thanks youUlikuwa kinara wa fujo,chabo au watoro?
Kwanini unauliza maswali ambayo majibu yake huwezi kuyahimili? Umekula kwanza?Eti mchicha mwiba ni samaki?
Mimi ni mkulima hapa dar.Asante kwa swali lako.
Una uhakika lakini? Una ishu gani kijijini hapo? Kwani una tatizo gani?