Uzi wa kuulizana maswali ya kijinga.

Uzi wa kuulizana maswali ya kijinga.

Sikujua kama una vituko namna hii.... nakupa tiketi ya kwenda kufundisha Alliens kule Space.
MEMKWA ya Ujiji mimi ndiyo nilikua kinara darasani hivyo sina budi kuchangia elimu yangu ya juu kuwajibu maswali wenzangu.
 
Leo lini??
Leo ni siku ya 27 katika mwezi hiyo ni kwakua leo ni saba saba na kwakua saba zipo mbili kimahesabu tunaanza kuandika namba hii kisha inafuata saba. Hivyo basi kaa usubiri mshahara wa mwezi huu.
 
Leo ni siku ya 27 katika mwezi hiyo ni kwakua leo ni saba saba na kwakua saba zipo mbili kimahesabu tunaanza kuandika namba hii kisha inafuata saba. Hivyo basi kaa usubiri mshahara wa mwezi huu.
hpn leo ni sikukuu ya wavuta bangi wa jf na leo ni siku yao ya kusheherekea na huu ni uzi wao special
 
Mkuu kwenye avatar wee ni yupi kati hao wanaoshindana kurusha nnya? [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Nanashangaaga.... Kwanini mwanaume akiambiwa wewe mama tuu anakasirika wakati hata sio mama na wala habadiliki kuwa mama.... Huwa sielewi....

Au na wewe huwa unakasirika??
Sikiza we binti kashangae feri shilingi inazama meli inaelea
 
Eti mchicha mwiba ni samaki?
Kwanini unauliza maswali ambayo majibu yake huwezi kuyahimili? Umekula kwanza?

Mchicha mwiba ni aina ya mchicha ambao unapatikana nchini Ruritania. No mchicha ulio kwenye kundi Askolobdae chini ya kundi dogo Aphlacsjkajbn.

Humo ndimo utakuta mboga maarufu duniani Kisamvu.
 
images-4.jpg
 
Back
Top Bottom