Uzi wa kuulizana maswali ya kijinga.

Mimi ni mkulima hapa dar.
Safi sana kilimo inabidi kipelekwe mbele mbele zaidi.

Sasa kuhusu swali lako ni hivi.
Kwenye kichwa kuna fuvu na ubongo ubongo umegawanyika katika sehemu nane.

Ubongo wa mbele.

Ubongo wa nyuma.

Ubongo wa kati.

Ubongo wa mbele kidogo.

Ubongo wa nyuma kidogo.

Ubongo wa kati kidogo.

Ubongo wa mbele kurudi nyuma.

Ubongo wa nyuma kurudi mbele.

Sasa ukitukanwa otea ni ubongo upi ndiyo unapokea taarifa?
 
Maxence mello amewahi kumtamani mange kimambi?
 
Lol... bado nafikiria nitakuja kukuuliza soon dear broda.
Dear broda..

Hahaha kuna kauli hata kama ulikua na nia pendwa inabidi utulie uusome upepo kama umake move au uvute pumzi.
 
Itakuwa Ubongo Kids.
 
Hivi wizara ya ndani ina sare zao maalumu kwa mawaziri ambazo zinakuwa na bendera ya nchi??
 
Hivi Mungu ni mwanaume ?na kama ndio Mungu wa wanawake yuko wapi ? Haki yao ni ipi ? Basi ni suprime being bila jinsia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…