Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 13,332
- 7,351
Mh! lugha hizi.No no no I was have beautiful brain than all humans in my class. Thanks you
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mh! lugha hizi.No no no I was have beautiful brain than all humans in my class. Thanks you
Apologies takenSamahani sana kwa kukukwaza. Kutokana na nature ya uzi sikuona kama kuna ubaya kuandika hivyo.
Safi sana kilimo inabidi kipelekwe mbele mbele zaidi.Mimi ni mkulima hapa dar.
Kama unanipinga sema....Mh! lugha hizi.
Sikiza we binti kashangae feri shilingi inazama meli inaelea
Lol... bado nafikiria nitakuja kukuuliza soon dear broda.Nasubiri swali lako hapa nikujibu.
Dear broda..Lol... bado nafikiria nitakuja kukuuliza soon dear broda.
Itakuwa Ubongo Kids.Safi sana kilimo inabidi kipelekwe mbele mbele zaidi.
Sasa kuhusu swali lako ni hivi.
Kwenye kichwa kuna fuvu na ubongo ubongo umegawanyika katika sehemu nane.
Ubongo wa mbele.
Ubongo wa nyuma.
Ubongo wa kati.
Ubongo wa mbele kidogo.
Ubongo wa nyuma kidogo.
Ubongo wa kati kidogo.
Ubongo wa mbele kurudi nyuma.
Ubongo wa nyuma kurudi mbele.
Sasa ukitukanwa otea ni ubongo upi ndiyo unapokea taarifa?
pole mkuu samahanEh! sijasema unitukane mkuu ila nimeuliza tu Kwa nini mtu akitukanwa hukasirika? Au niongeze kwanini mtu akikasirika hutukana?
Ili uwe binamu yanguHivi kwann nilizaliwa mwanamke?
Bado hawajakaa kikao kuamua kama wachukue kombe mwaka huu au mwakani.Ivi England Atachukua kombe LA dunia mwaka uhuu.
Inategemea wengine wakiona mtu kajamba huwa hawakai bali huanza kutangaza dau kabisa.Hiv nikiijamba humu mdan mtaendelea kukaa??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu,ulizaliwa mwanamke ili uwe kiburudisho kwa ubavu wako (jokes)
Hahahahah nataka na mm nioeIli uolewe
Hahahah sawa binaIli uwe binamu yangu