Uzi wa kuulizana maswali ya kijinga.

Hivi Mungu ni mwanaume ?na kama ndio Mungu wa wanawake yuko wapi ? Haki yao ni ipi ? Basi ni suprime being bila jinsia
Safi sana kwa maswali yaliyoenda gesti.
Wale waliouona mlima ni mungu wao mpaka wakauita Kilimanjaro (mlima Mungu) walisema ule mlima ni jinsia gani?
 
SI umwambie jero mwenyewe aje aachie...!!! Unapenda sana kutuma wenzio wafanye mambo ya wengine
Kuna watu wanaweza kufanya kazi za wengine, wewe achia la buku mbili mia saba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…