Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Safi sana kwa maswali yaliyoenda gesti.Hivi Mungu ni mwanaume ?na kama ndio Mungu wa wanawake yuko wapi ? Haki yao ni ipi ? Basi ni suprime being bila jinsia
Wale waliouona mlima ni mungu wao mpaka wakauita Kilimanjaro (mlima Mungu) walisema ule mlima ni jinsia gani?