Uzi wa kuwaunganisha wenye ujuzi na wenye mitaji

mkuu tutafutane nina interest na hii kitu
 

Mkuu mimi nahitaji miavuli kama ya Mak Juice lakini iwe na logo ya juice yangu. Ntaipataje?
 
Mazao aina gani ulikuwa unanunua na upo mkoa gani na soko liko wapi mkuu

$ There's clear light at the end of the Tannel $
 
Unapatikana wapi

$ There's clear light at the end of the Tannel $
 
Mbia ambae anaitajika kuwa na kamtaji ka shilingi ngapi

$ There's clear light at the end of the Tannel $
 

M6 kuuza M7 ni biashara mbaya sana, ili ufanikiwe hakikisha biashara yoyote inaingia angalau mara mbili ya mtaji, hiyo 6m ingeingiza 12m na kuendelea ungesema una biashara
 
Wazo zuri,huyo mbia anatakiwa awe na mtaji kiasi gani? Napia kwa sababu uko field,hiyo biashara huwa inakupa faida kiasi gani,kwa mwezi?
 
M6 kuuza M7 ni biashara mbaya sana, ili ufanikiwe hakikisha biashara yoyote inaingia angalau mara mbili ya mtaji, hiyo 6m ingeingiza 12m na kuendelea ungesema una biashara
We ni mbwiga kweli hivi kupata m1+ mara nne au tatu kwa mwezi ni hasara???unataka upate faiada za kwenye makaratasi???naomba unitajie na udhibishe biashara yenye mtaji wa m6 kwa mwezi inayoingiza m12,na anaeifanya awe na umri wa chini ya miaka 15 watu wa aina yenu ndio mnafanya watu waendelee kuishi usingizini na kidogo tu nikutukane
 
Acha kuongea kihuni.

Elezea vizuri Gharama ya kununua Mazao, Usafiri, Changamoto.

Pia kuhusu Mauzo n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio nilivyojua kuandika hivyo yani hapo ndio uwezo wangu huwezi kuniambia nimeandika kihuni wakati mie sii muhuni mauzo nimeelezea hapo,changamoto kubwa kwenyee mauzo ni kumuachia dalali mzigo wako akuuzie huku yeye hajakulipa kupoteza/hasara ni nje.me nilikua dalali na nilkua mzoefu hio ilinipita mengine ni yale ya kupambana nayo tu gafla gafla mara yanapotokea
 
Binafsi nina business idea, " inahusu mambo ya malipo,a payment solution for online businesses)" already nimeandaa business name, na nipo kwenye write up ya business plan. Nahitaji business partners wawili tu, mmoja awe mtaalam mbobezi wa masuala ya IT( programing) na mwingine awe na Pesa around 20 to 30M,au Fixed assets kwajili ya set up ya ofisi.Mimi ni mtaalam wa masuala ya fedha na utawala (Nimebobea) kwahio nitachangia utalam na Idea.Kwa maelezo zaidi njoo PM tuyajenge. NB.Mtaalam wa IT uwe na evidence ya kazi ulizowai kuzifanya ambazo alteast zinafanana na project, na anayechangia mtaji awe na evidence ya bank statement or deposit.
Pia kuhusiana na pesa,naweza kuchangia pia na mtu wa IT awe tayari kuchangia, Pia mtu wa marketing atahitajika hivyo tutajadili kama awe partner au tumwajili

Nawasilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…