Binafsi nina business idea, " inahusu mambo ya malipo,a payment solution for online businesses)" already nimeandaa business name, na nipo kwenye write up ya business plan. Nahitaji business partners wawili tu, mmoja awe mtaalam mbobezi wa masuala ya IT( programing) na mwingine awe na Pesa around 20 to 30M,au Fixed assets kwajili ya set up ya ofisi.Mimi ni mtaalam wa masuala ya fedha na utawala (Nimebobea) kwahio nitachangia utalam na Idea.Kwa maelezo zaidi njoo PM tuyajenge. NB.Mtaalam wa IT uwe na evidence ya kazi ulizowai kuzifanya ambazo alteast zinafanana na project, na anayechangia mtaji awe na evidence ya bank statement or deposit.
Pia kuhusiana na pesa,naweza kuchangia pia na mtu wa IT awe tayari kuchangia, Pia mtu wa marketing atahitajika hivyo tutajadili kama awe partner au tumwajili
Nawasilisha