Uzi wa kuwaunganisha wenye ujuzi na wenye mitaji

Uzi wa kuwaunganisha wenye ujuzi na wenye mitaji

Ndio nilivyojua kuandika hivyo yani hapo ndio uwezo wangu huwezi kuniambia nimeandika kihuni wakati mie sii muhuni mauzo nimeelezea hapo,changamoto kubwa kwenyee mauzo ni kumuachia dalali mzigo wako akuuzie huku yeye hajakulipa kupoteza/hasara ni nje.me nilikua dalali na nilkua mzoefu hio ilinipita mengine ni yale ya kupambana nayo tu gafla gafla mara yanapotokea
Mazao ya aina gani yanatoka kwa haraka sokoni?
 
Binafsi nina business idea, " inahusu mambo ya malipo,a payment solution for online businesses)" already nimeandaa business name, na nipo kwenye write up ya business plan. Nahitaji business partners wawili tu, mmoja awe mtaalam mbobezi wa masuala ya IT( programing) na mwingine awe na Pesa around 20 to 30M,au Fixed assets kwajili ya set up ya ofisi.Mimi ni mtaalam wa masuala ya fedha na utawala (Nimebobea) kwahio nitachangia utalam na Idea.Kwa maelezo zaidi njoo PM tuyajenge. NB.Mtaalam wa IT uwe na evidence ya kazi ulizowai kuzifanya ambazo alteast zinafanana na project, na anayechangia mtaji awe na evidence ya bank statement or deposit.
Pia kuhusiana na pesa,naweza kuchangia pia na mtu wa IT awe tayari kuchangia, Pia mtu wa marketing atahitajika hivyo tutajadili kama awe partner au tumwajili

Nawasilisha
Wazo ni zuri,ingekuwa vizuri kama ungeweka breakdown hapa ili huyo atakayetoa mtaji wa 20M awe na uhakika wa fedha zake kabla ya kufika huko pm.
 
Naam, ni soko zuri pia. Ila kwangu mimi nauzia kule Machinjioni, saizi mahindi yameanza kuwa na faida nzuri fanya upesi urudi mzigo.

MGC
Kiongozi kwa sasa sifikirii sana hela ipo kweli ila kuna sehemu nimeanza kujipangilia ngoja mizizi iote kwanza
 
Wazo zuri,huyo mbia anatakiwa awe na mtaji kiasi gani? Napia kwa sababu uko field,hiyo biashara huwa inakupa faida kiasi gani,kwa mwezi?
Mbia anatakiwa awe na uwezo wa kununua machine palletazing mashine yenye thamani ya ml 60
Eneo la kazi ninalo na mtaji wa kuanzia kidogo hiyo mashine ni kuongeza valuu ya material yani inatengeneza atua ya mwisho ya materials tofauti na hii niliyonayo ya atua ya Kwanza.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbia anatakiwa awe na uwezo wa kununua machine palletazing mashine yenye thamani ya ml 60
Eneo la kazi ninalo na mtaji wa kuanzia kidogo hiyo mashine ni kuongeza valuu ya material yani inatengeneza atua ya mwisho ya materials tofauti na hii niliyonayo ya atua ya Kwanza.


Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya muda gani,hiyo mil 60 inaweza kurudi baada ya kuwekeza?
 
Back
Top Bottom