Uzi wa kuweka picha zilizotengenezwa na kompyuta

Uzi wa kuweka picha zilizotengenezwa na kompyuta

Mara paap, nikawa bored ku'model interior parts za sci-fi spaceship...nikaamua kuanza kumodel kwa nje.

Hii ni lowpoly, maoni yenu kabla sijazama kwenye kuongeza more details.
Screenshot (98).png
 
Work In Progress
View attachment 1350153View attachment 1350154

My first human character sculpting. Niliamua kumtengeneza huyu binti kwa ajili ya kuifanya iwe kama birthday tribute yangu kwa ex wangu ila nikabadili gia angani na nikaahirisha kuendelea na huo mpango[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sasa hivi nimeiacha kwanza, ila ninahitaji kufanyia kazi nywele na ngozi na baadhi ya vitu vichache ili awe tayari kwa mambo mengine kama kuwa character kwenye animation.
Mkuu upo?
 
Back
Top Bottom