Uzi wa kuweka picha zilizotengenezwa na kompyuta

Uzi wa kuweka picha zilizotengenezwa na kompyuta

Hii nimeipachika jina Inaitwa "Johannesburg 2100"

Maelezo...

Ni baada ya kutokea machafuko ya vita na magonjwa, Kizazi cha Binadamu kitapotea na Miji kuchakaa. Wanyama wa mbugani watasambaa mijini.
Najaribu kutafuta picha original ambayo niliitumia ila siioni. ila video wakati nikiitengeneza ipo.
newww.jpeg
 
Hii nimeipachika jina Inaitwa "Johannesburg 2100"

Maelezo...

Ni baada ya kutokea machafuko ya vita na magonjwa, Kizazi cha Binadamu kitapotea na Miji kuchakaa. Wanyama wa mbugani watasambaa mijini.
Najaribu kutafuta picha original ambayo niliitumia ila siioni. ila video wakati nikiitengeneza ipo. View attachment 1465498
Good work, huwa natamani siku niweze kutengeneza composition ya hivi ila iwe video...
Mwakani inabidi nirudi kwenye after effects aisee..
 
Good work, huwa natamani siku niweze kutengeneza composition ya hivi ila iwe video...
Mwakani inabidi nirudi kwenye after effects aisee..
nakushauri utumie unreal engine mzee, after effect itakusumbua
 
GETO LA MSELA

View attachment 1296468
this is the one of craziest render i ever made. nilitumia masaa kama kumi na moja kuikamilisha. japo sakafu kama imenizingua hivi lakini ni moja ya picha inayonivutia kwa kweli. nafikiri nitahitaji kuongeza mijusi mijusi hapo ukutani.
We n mbunifu sana,kapicha kaukutan umekapatia mno,na wasela wengi hazkosag picha kama hzo
 
Hii mbona kama picha ya kwel
😂 😂 😂 😂
Mimi mwenyewe huwa sielewi ni vipi niliweza kutengeneza kitu kali kama hiyo. Hayo majani yameongeza uhalisia sana.

Nimemiss sana kutengeneza haya madude, ngoja nijipange nirudi tena.
 
Niliisusa blender kwa muda, na kipindi hicho nilikuwa natumia v2.7 sasa nimerudi na nime update kwenda v2.9. Hii interface ni noma....yaani hapa nipo na struggle kuelewa kila kitu kipo wapi? Hotkey zimebadilika yaani tabu tupu...Hadi kuzoea sio leo....😂😂😂😂😂

Screenshot (82).png
 
View attachment 1633115
interfence imebadilika kwenye 2.8
 
Back
Top Bottom