Uzi wa kuweka picha zilizotengenezwa na kompyuta

Uzi wa kuweka picha zilizotengenezwa na kompyuta

Mkuu hongera huu uzi hakika umenipa idea kidogo japo ctumii pc ila ningependa kujikita zaidi huko
 
Work In Progress
Human skull sculpting
Screenshot (65).png
 
Hapa nimepiga nodes for the first time, sijui hata nilitaka kuunda ninView attachment 1464412
😀 😀 😀 😀
Material nodes huwaga miyeyusho sana, ila ukizijulia zinafanya kazi kuwa bora mno. Ni kuzidi kufanya mazoezi mara kwa mara.

Japo hata mimi nimeshindwa kujua hicho ni nini ila kwa macho inavutia, hasa hiyo background.
 
Hao ni vipepeo niliowawekea Blue Glow, Vipepeo mara kadhaa hufananishwa na nguvu za kiroho. Hao vipepeo wako nyuma ya hao watu wakiwafuata, maana yake ni nguvu isiyoonekana ikiwalinda kuelekea kwenye maisha mapya.
Picha nzuri,nina ka swali,ni nini mantiki ya kuweka hio blueish hapo kwenye mti?
 
Back
Top Bottom