Uzi wa kuweka picha zilizotengenezwa na kompyuta

Uzi wa kuweka picha zilizotengenezwa na kompyuta

Work In Progress
Animal sculpting
Screenshot (49).png
 
Baada ya kujipa muda kwenye highpoly car models nikaamua kurudi tena. Hapo awali tairi pekee ilinichukua siku tatu lakini kwa sasa kila kitu kilikamilika kwa chini ya masaa manne. Ugeni ulikuwa unasumbua tu kumbe.

Lakini sasa niliamua kwenda mbele zaidi kwa ku add drivers kwenye matairi ili niki animate gari yazunguke kufuata gari
car.png

Bofya file hapo chini kuona animation yake
 
Attachments

  • 0001-0270.mp4
    900.3 KB
Ukiachana na cloth simulation ambayo ndiyo mnyonge wangu kitambo, simulations nyingine nilikuwa naziogopa mno. Ila majuzi nikaamua kujaribu fluid simulation ambayo ilikuwa inanitoa jasho sana kwenye ku control mtiririko wa maji lakini angalau niliweza na nimehamasika kujaribu complex fluid simulation kwa siku za usoni
water flow.png

Bofya hapa chini kuona animation yake
 
Attachments

  • 0001-0249.mp4
    991.5 KB
Baada ya kujipa muda kwenye highpoly car models nikaamua kurudi tena. Hapo awali tairi pekee ilinichukua siku tatu lakini kwa sasa kila kitu kilikamilika kwa chini ya masaa manne. Ugeni ulikuwa unasumbua tu kumbe.

Lakini sasa niliamua kwenda mbele zaidi kwa ku add drivers kwenye matairi ili niki animate gari yazunguke kufuata gari
View attachment 1428244

Bofya file hapo chini kuona animation yake
Mkuu hii inatumia mda gani
 
Baada ya kuvutiwa na huu uzi nkaona nijaribu japo sna pc ila nkatumia simu, shida ilukuja pale nlipotoa mtu asiefanana na mm hata kidogo๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
 
Attachments

  • 20200517_144220.png
    20200517_144220.png
    470.8 KB · Views: 23
  • 20200517_144220.png
    20200517_144220.png
    470.8 KB · Views: 24
Angalau hii (infinite design) rahis kdogo japo sjawa fresh ila youtube naona watu wanatengeneza znakua nzuri ila mm n vile ndo nmeiona leo nkajarbu kama lisaa lizma ila nmeambulia hii๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
 
Attachments

  • 20200518_112031.png
    20200518_112031.png
    416.4 KB · Views: 24
Back
Top Bottom