Uzi wa kuweka picha zilizotengenezwa na kompyuta

Uzi wa kuweka picha zilizotengenezwa na kompyuta

COVID-19
covid.png
 
Uko vizuri mkuu
But virus huwa ni 100 times smaller than normal cells
Cells are giants to viruses
Shukran kwa kunielimisha mkuu.. Sina utaalam huo, picha niliyoitumia kama reference image ilikuwa na vifani vyenye uwiano kama huo so nikajua hivyo ndivyo ilivyo.
 
Back
Top Bottom