Uzi wa kuweka picha zilizotengenezwa na kompyuta

Uzi wa kuweka picha zilizotengenezwa na kompyuta

sawa mkuu tutashkuru....ninachotaka ni namna ya kufanya muonekano kama uo kwenye pc yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ok fanya hivi..
Right click hapo kwenye desktop ije ile box ya kupangilia vitu eg personalize..sort..refresh etc..
Nenda pale palipoandikwa View kisha angalia kwenye kua align icons..
Disable pale kwenye auto arrange icons na align icons to grid. Ukifanya hvo utaweza kupeleka icon popote pale.

Jaribu ikishindikana uliza
Cc
Blank page mchumi tumbo
 
Apo nmekupata
Ok fanya hivi..
Right click hapo kwenye desktop ije ile box ya kupangilia vitu eg personalize..sort..refresh etc..
Nenda pale palipoandikwa View kisha angalia kwenye kua align icons..
Disable pale kwenye auto arrange icons na align icons to grid. Ukifanya hvo utaweza kupeleka icon popote pale.

Jaribu ikishindikana uliza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Search hivi..
"Best pc wallpaper " utaziona..
Au Room pc wallpaper
asante mkuu nimefanikiwa...ila aionyeshi vizuri sababu ya zoom nadhani...akuna namna inaweza baki na clarity yake kama mwanzo ukishaset....picha ya kwqnza ni baada ya kuset....picha ya pili ni ya kudowload
1581511135498.jpeg
images%20(9).jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HAPO ZAMANI ZA KALE
My first 3D mode
Capture.JPG

Hiyo ndo ilikiwa model yangu ya kwanza kabisa wakati najifunza hii software. Lengo lilikuwa ni kutengeneza twiga. Baada ya zaidi ya masaa manne nikaishia kutengeneza kiumbe ambacho hata mimi mwenyewe sikukielewa.
 
Back
Top Bottom