Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
- Thread starter
- #81
MACHWEO
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
💪💪💪Keep the Good work alive...!!
Hapana mkuu, bado nafanya kama sehemu ya burudani nikiwa free na nikiwa na mood pia. Kuna wakati niliwahi kuweka uzi humu kama kuna yeyote anayeweza kunipa kibarua kwa kazi hii, sikufanikiwa😀😀😀. Bado nachungulia huku na kule kuona fursa, kama ikipatikana fresh na isipopatikana pia sio kesi maana nina malengo nayo ya mda mrefu.Hongera sana.
Vip umeshapata njia ya kujiiingizia kipato kwa kipaji hiki au bado bw mdogo. Changamka muda ni sasa
Kwa mara ya kwanza lazima uvurugwe tu 😀😀😀😀aisee uko vizuri, kuna kipindi nilidownload hiyo blender ili nipate kujifurahisha,
ila ile kufungua tu nikakuta siyo vile niliyodhani, nikaifutilia mbali,
ila nitajaribu tena aisee.
Kazi nzuriii mkuuWakuu!
Baada ya kuupenda Uzi nikakamata mashine yangu hapa nikaunda kitu Kama hiki.
Hi nimetumia blender 2.82a View attachment 1393079
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaribu ku google kitu kinaitwa VFX utajua uzuri na faida ya 3D modeling.Stephen Chelu, pHivi mkuu kwa kutengeneza picha kama hizo, kuna faida yoyote unayoipata?,
Na kama faida itakuwepo nadhani itakuwa kwenye kuziuza, Je, unaweza ukashare na masoko ya picha hizo?
Nina jamaa yangu ni mtaalam sana wakutengeneza picha kama hizo, ila huwa anafanyaga just for fun tu, ila kama zitakuwa zinasoko nadhani ni ajira nzuri sana kwa vijana
Sent using Jamii Forums mobile app
aise naomba unifundishe haya maujanja pleasePoa, tutakuwa tunakusubili.
Karibu mkuu,aise naomba unifundishe haya maujanja please
Karibu tena mkuu.Hongera sana, brender nilitumia nnikaiacha, kwa sasa nimerudi nyuma kidogo kwenye ulimwengu wa 3D , ngoja nianze upya
Aisee fanya kunitumia hizo kama inawezekana. Mimi nitafute hiyo blenderKaribu mkuu,
Ila 3D ni pana sana kiasi kumfundisha mtu kwa maandishi ni ishu sana, labda awe tayari ana ufahamu wa awali kwa hiyo kitu. Cha kufanya install blender then pitia tutorials ziko youtube za kutosha. Binafsi nina tutorials 60+ pamoja na pdf kadhaa so naweza kukutumia ukihitaji. Ukishapata general idea itakuwa rahisi kuelezana katika specific issues kama sculpting, texturing na animation.
Poa poa mkuu, ngoja nikipata bando kubwa na kutosha nitakutumia. Maana mzigo una 3gb+. Kama si leo usiku basi kesho usiku.Aisee fanya kunitumia hizo kama inawezekana. Mimi nitafute hiyo blender