Uzi wa kuweka picha zilizotengenezwa na kompyuta

N
Angalau hii (infinite design) rahis kdogo japo sjawa fresh ila youtube naona watu wanatengeneza znakua nzuri ila mm n vile ndo nmeiona leo nkajarbu kama lisaa lizma ila nmeambulia hii๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
Nzuri
 
Kijifunza umetumia muda gani
Binafsi nilitumia mwezi mmoja na sehemu hivi hadi kuanza kuielewe vizuri software kwenye maeneo yake ya msingi. Na niliwekeza muda sana, ilikuwa natumia hadi masaa 14 kwa siku nikijaribu hiki na kile.

Ila hakuna muda maalum inategemea na ni kiasi gani cha muda unautumia na uwezo wako wa kuelewa na kuchanganya ideas katika maeneo mbalimbali, kumbukumbu na uwezo wa kukokotoa mahesabu kwa mbali hasa linapokuja suala la animation na simulation.
 
Kuna hesabu pia
 
Ndiyo mzee, lakini siyo ngumu sana ukiizoea na ukavifhamu vitu vya msingi zaidi hasa ishu za x, y, and z-axis, utakuwa unateleza tu kwenye mambo mengi. Karibu mahesabu mengi yanalala kwenye hiyo mistari ya x, y, na z.
Daaah napenda sana vitu hivi yani
 
Mkuu kazi zako ni nzuri sana.
Kama ushauri wangu naona ukiona kazi zako zinaanza kukomaa ufanye episode ndogo ndogo na kuupload youtube utajulikana na pia jaribu kuandaa movie fupi fupi.
Kuna mnaijeria YouTube ana episodes inaitwa "splendid carton " aisee zinavutia

MONEY STOP NONSENSE
 
Shukrani mkuu kwa ushauri.

Tayari nilikuwa na mpango huo na nilishaandaa kabisa kila kitu na nikapanga kutengeneza web seties yenye episode kumi. Nikaingia mzigoni nikaandika script na nikatengeneza episode kama tatu hivi but hapo kati nikaumwa sana nilipokuja kupona ile energy ikapotea kabisa. Na sasa hivi nina majukumu flani yanayonifanya nisipate muda wa kuendelea.

Hadi sasa nina episode 3 zenye dakika kati ya sita hadi nane zilizokamilika kabisa ila nashindwa kuzitoa kwa sababu sina uhakika kama nitaweza kuendelea kwa wakati na ubaya zaidi ni story yenye mwendelezo hivyo naweza kuwakera watu kwa kuweka nusu.
Ila bado nafikiria namna ya kulishughulikia hilo ila naamini siku za usoni panapo majaaliwa nitafanya hivyo.
 
Unaweza kukaa mda mrefu kuiandaa yote halafu ukimaliza unaanza kuupload episode by episode.

Hivi zile sauti zinazoingizwa kwenye animation ni computarization au ni sauti ya wahusika haswa

Super Villain pita huku, naimani ungependa kuziona hizi.
Sikuwahi kuuona huu uzi umenyoosha sana naelewa huo muda ulioweka hapo mzee wangu ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ nazani blender umeiyonea vyakutosha hv Illustrator unatumia nayo maana siku ile nili zoom zile icon niliona PS, AF, AP na BL ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š
 
Unaweza kukaa mda mrefu kuiandaa yote halafu ukimaliza unaanza kuupload episode by episode.

Hivi zile sauti zinazoingizwa kwenye animation ni computarization au ni sauti ya wahusika haswa

MONEY STOP NONSENSE
Zile ni sauti za watu hali kabisa cartoon haina sauti ni vitendo tu sauti unaingia mwenye mtu halisi kabisa.
 
Sikuwahi kuuona huu uzi umenyoosha sana naelewa huo muda ulioweka hapo mzee wangu ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ nazani blender umeiyonea vyakutosha hv Illustrator unatumia nayo maana siku ile nili zoom zile icon niliona PS, AF, AP na BL ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š
๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€
Pamoja sana mkuu, Illustrator sijawahi kuitumia mkuu.
 
Back
Top Bottom