Masterkratos
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 584
- 576
Nice, hard surface modelling huwa ina ugumu wake hongera.WORK IN PROGRESS
Nimeongeza sakafu, ukuta na panels kadhaa hapo ukutani.
Huyo mtu nim-import kutoka makehuman kama reference ninapoendelea na modeling ya baadhi ya vitu.
View attachment 1659961
Mara paap, nikawa bored ku'model interior parts za sci-fi spaceship...nikaamua kuanza kumodel kwa nje.
Hii ni lowpoly, maoni yenu kabla sijazama kwenye kuongeza more details.View attachment 1662916
polekuna fala kaiba pc yangu, nimepoteza projects kibao za hii kitu, ila yote heri, nitarudi.
Nimeipenda hii, naichukua kwa kuitunza kwenye pcGETO LA MSELA
View attachment 1296468
this is the one of craziest render i ever made. nilitumia masaa kama kumi na moja kuikamilisha. japo sakafu kama imenizingua hivi lakini ni moja ya picha inayonivutia kwa kweli. nafikiri nitahitaji kuongeza mijusi mijusi hapo ukutani.
👍👍Nimeipenda hii, naichukua kwa kuitunza kwenye pc
Mkuu upo?Work In Progress
View attachment 1350153View attachment 1350154
My first human character sculpting. Niliamua kumtengeneza huyu binti kwa ajili ya kuifanya iwe kama birthday tribute yangu kwa ex wangu ila nikabadili gia angani na nikaahirisha kuendelea na huo mpango[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sasa hivi nimeiacha kwanza, ila ninahitaji kufanyia kazi nywele na ngozi na baadhi ya vitu vichache ili awe tayari kwa mambo mengine kama kuwa character kwenye animation.
Nipo mkuu......Mkuu upo?
software gani?