Uzi wa kuweka picha zilizotengenezwa na kompyuta

Mr. Stephen Chelu can we corporate and affiliate to change the Film and Video industry?
Absolutely bro, doing something different in film and video industry is what pushed me to jump into learning the CGI's. So having someone to move witth, makes the journey pretty cool. I really appreciate that.
 
Mr. Stephen Chelu nashindwa kupata access ya kutuma jumbe katika PM yako, tafadhari naomba tuwasiliane.
 
Back in the business
Let's create something sweet.
Hii project niliifanya baada ya kuona picha kwenye jarida la utalii na wanyama la Kakakuona. Bado kuna mengi ya kurekebisha kwenye maua, yanaonekana yasiyo na mvuto sana.
 
Work In Progress


My first human character sculpting. Niliamua kumtengeneza huyu binti kwa ajili ya kuifanya iwe kama birthday tribute yangu kwa ex wangu ila nikabadili gia angani na nikaahirisha kuendelea na huo mpango😂😂😂😂. Sasa hivi nimeiacha kwanza, ila ninahitaji kufanyia kazi nywele na ngozi na baadhi ya vitu vichache ili awe tayari kwa mambo mengine kama kuwa character kwenye animation.
 
Hahaha 😁
 
Mkuu hongera saana, samahani nawezaje ipata iyo software ya blender. Maana nimewiwa kujifunza hii kitu
 
Mkuu hongera saana, samahani nawezaje ipata iyo software ya blender. Maana nimewiwa kujifunza hii kitu
Ingia google search utaiona, official site yao ni blender.org nadhani. Ingia hapo nenda sehemu ya download changua version unayoitaka but ni vema ukidownload version zilizo kati ya 2.79 na 2.81.
 
Ok nadhani kwenye ku move hizo icon ndio shida kwenu nimeona. Ngoja nikiwasha pc nitawaelekeza vizuri.
Muwe na subira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…