Niliwamiss sanaaa Miss Natafuta Mama Sabrina na dada mwenye maringo Shunie kuna @mwifa haha Kichwa Kichafu teee wanyarwanda GENTAMYCINE na @jest killer na weeengi
Umerudi kimya kimya roho mbayaEeenh mkuu mm nina maringo jamani asante mkuu nilikumiss pia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shunie
Wote tuliokuwa uhamishoni nchi ya jirani, turudi nyumbani kumenoga
Raha sana sasa nabisikia binadamuHapana sijaingia KT sina siku 4 ujue ila najua watu wametoa taarifa
Wow!! Nilikumiss pia best na content zako zile murua. Asee umenenepa? Lol!Humble African jamani nimefurahi sana kukuona
Raha sana sasa nabisikia binadamu
@shunie kule tulikuwa tunapoteza mawazo lakin nyumbani ni nyumbani tu.Hahahha yaan kule kumetusaidia sana lakini nyumbani ni nyumbani
@shunie kule tulikuwa tunapoteza mawazo lakin nyumbani ni nyumbani tu.