Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
Eeenh mkuu mm nina maringo jamani asante mkuu nilikumiss pia
..Asante. Nilikuona kule JF ya Kenya Talk KT hahaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeenh mkuu mm nina maringo jamani asante mkuu nilikumiss pia
Sawa mkuu usijariFanya hima mkuu
Hahaha tunalifahamu hiloHahaha,lazima
Mbona haujaniita jamani..Asante. Nilikuona kule JF ya Kenya Talk KT hahaha
Alafu naona kama umenenepa vileHahaha tunalifahamu hilo
Alafu naona kama umenenepa vile
Mbona haujaniita jamani
Wewe kataa ila mimi nimeona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimenenepa umenionaje acha kunijaza
Itakuwa una nyota ya ubwahadi sasa hakun Aliyeni miss dadekii
Kwema brother, long time no see. Uko freshVipi brother, habari ya siku nyingi
Niko fresh kabisa ndugu,hofu kwako tuKwema brother, long time no see. Uko fresh
Tunakimbizana na world cupNiko fresh kabisa ndugu,hofu kwako tu
Ndio,naona awamu hii watu wanapata tabu sanaTunakimbizana na world cup
Vigogo wananyooshwa sana, msimu huuNdio,naona awamu hii watu wanapata tabu sana
[emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji179] [emoji179] [emoji179] [emoji179] [emoji178] [emoji178] [emoji178] [emoji178]
Yani hatari sana,kesho inawezekana Brazil naye akatolewaVigogo wananyooshwa sana, msimu huu
Itakuwa vizuri pia Brazil wakipata tabuYani hatari sana,kesho inawezekana Brazil naye akatolewa