Uzi wa kwanza baada ya JamiiForums kurudi, ulimmiss nani na nini?

Uzi wa kwanza baada ya JamiiForums kurudi, ulimmiss nani na nini?

Mbona haujaniita jamani

Sikujiunga kule maana nilihisi kuna utata fulani. Maana watu wana vyeo sijui village chief mara chair man haha nikawa nachungulia tu nione mwisho wake
 
quick reply .. sory wakuu nlkua najarbu ndo nmeigilizia hayo manen
 
Back
Top Bottom