Uzi wa kwanza baada ya JamiiForums kurudi, ulimmiss nani na nini?

Uzi wa kwanza baada ya JamiiForums kurudi, ulimmiss nani na nini?

Kukosekana kwa JF siku chache zilizopita kumenifanya niishi kwa mawazo sana kiasi kwamba nilikuwa kama nipo kwenye shimo la pewa.
 
Duuuuh pole sana ndg yangu, tuishi tu ila tutapata tabu sana
 
Back
Top Bottom