Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa si taratibu jmn..vyeo vinapanda lv[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sitaki kuwa bae. Niupgrade kuwa wife number 2
HahahaahhaahaUzi wa kwanza ni wa Max bosi wa Jamiiforums.. muwe mnafanya risechi basi. Labda kama ni uzi wa memba.
Hiyo ya Kenya inaitwaje ?? Au ndio hiyo Kenya Talk? Ipo play store?Aaah hatimaye tumerejea home..kule kenya majanga
ndio unaipata tu kwa Browser mkuuAnhaa umeipata kwa browser sio?
ana stress huyo. mwambie aagize bill ntaripa.Design hiz ni hit& run full stop
Anaanzisha uzi kama wakenya, hawatoi maelezoOngeza nyama bana nyie ndo mnafanya melo apate wakat mgumu
Barker alisalimika vipi na lile shambulio ?
Nilikumiss pia shemejiNiliwamiss wote