We lazima nikumisi kwanzs ukuje Pale Miembeni (PM) kuna kitu tulikuwa hatujamalizana.kwahiyo mimi hukuni-miss
You tube na kwenye baa za wazeeMvumo wa radi umeishia wapi ?
Nipi nanyapia nyapia kumbe mzigo umerudi kitambo alafu umenyuti bila kunipa taarifaHhhhahah nyauuu wangu nakuona
Abeeh [emoji8][emoji8][emoji8]
Utakuwa mzima eeh maana nilikumic kwenye hiki kipindi cha mpito
Mzima sana my dear [emoji8][emoji8][emoji8] hofu kwako tu
Mi napumua vyema sema kufuli ulilonifungia ndo tatzo[emoji7]
Hahaha kufuli la mlango wa chuma
Mlango wa chuma jarbu kunisaidia kufungua
Sawa mkuu nitafungua
Vipi brother, habari ya siku nyingiBrother brother
Hahaha,lazimaAbeeh
Wewe lazima utumiss [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]