Uzi wa kwanza baada ya JamiiForums kurudi, ulimmiss nani na nini?

nilikuwa najaribu tu kama ban imeondolewa...duuh.. Nilimisije... Mshana Jr,, mzizimkavu... Nilikuwa kama mkiwa
 
Humble niLikumiss jamani nikawa nawaza zile nyuzi za forex nacheka mwenyewe
Nimegundua members wa JF tunategemeana sana kunogesha hii platform nilikuwa nifikiria story zako na yule G wa majuu...namna unavyomnyooshaga kwenye ubed...! Ndio nakumiss zaidi wewe na JF. Asee!

Nimefurahi kuona maandishi yako tena Mama Sab.

Nasubiri story za G tena zile tamu tamu kule kwenye jukwaa letu la kizazi.
 
Hahahaaa. Nilikumiss we mdada jamaani.

Naona ushawapa kidonge tayari. Yaani wakimeza wakitema shauri yao. Hahahahaaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…