chapamamba
Member
- Jan 23, 2011
- 56
- 21
nilikuwa najaribu tu kama ban imeondolewa...duuh.. Nilimisije... Mshana Jr,, mzizimkavu... Nilikuwa kama mkiwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
embu twende kule kwetu jaman nimekumiss etiAaah bana nisije ita mtu ng'ombe au ngamia kama majirani. Weken gazeti uzi gani tumaandishi tuwili tu
Nimegundua members wa JF tunategemeana sana kunogesha hii platform nilikuwa nifikiria story zako na yule G wa majuu...namna unavyomnyooshaga kwenye ubed...! Ndio nakumiss zaidi wewe na JF. Asee!Humble niLikumiss jamani nikawa nawaza zile nyuzi za forex nacheka mwenyewe
Salaama mkuu,vipi pilika? Haswaa JF ni uraibu,alosto yake kwa hizi siku ishirini na moja nafsi zetu ndio mashahidiHali yako? mkuu hali ilikua sio nzuri bila bila JF.......
Hahahaaa. Nilikumiss we mdada jamaani.Yani wanaume watanzania mnamatatizo makubwa,kila siku unalialia kwenye mitandao umeimis jf hivi mnaakili kweli nyie,huna kitu kapuku mkubwa unakaa nakulialia tu kila siku[emoji35] [emoji35]
Mwanaume tafuta pesa acha kulilia vitu vya kijinga utaolewa.
muwe na wkend njema
Dada swalaama?Hahahaaa. Nilikumiss we mdada jamaani.
Naona ushawapa kidonge tayari. Yaani wakimeza wakitema shauri yao. Hahahahaaaa.
Nakusalimia Mtani. Natumai umerudi salama kwenye ulingo wetu wa jf?Taarifa yao kwenye mitandao mingine. Na hii ndo comment yangu ya kwanza JF.. Asante
Hahahaaaa. Lol.Sahivi sifanyi makosa tena ya kuchelewa kuomba namba huko pm,tcr.a hawatabirik hawaa!
Bila kusahau zile emoj zetu rafiki. Hahahaaaa.Niliwamiss wote
Nilikumiss pia Mkuu Sabosabo sababu sio kwa ughafula ule jamaani.Hajar