Uzi wa kwanza baada ya JamiiForums kurudi, ulimmiss nani na nini?

Uzi wa kwanza baada ya JamiiForums kurudi, ulimmiss nani na nini?

Uzi haunogi bila kapicha weka mkuu kapicha kunogesha Uzi wako
 
Yani wanaume watanzania mnamatatizo makubwa,kila siku unalialia kwenye mitandao umeimis jf hivi mnaakili kweli nyie,huna kitu kapuku mkubwa unakaa nakulialia tu kila siku[emoji35] [emoji35]
Mwanaume tafuta pesa acha kulilia vitu vya kijinga utaolewa.

muwe na wkend njema
Aisee
 
Aah, sipendagi kuomba namba mana humu ukiomba namba ya mtu tu basi hasa akiwa mwanamke basi akili yake moja kwa moja atajua unataka hifadhi, basi inakuwa taabu bora mambo yaende tu hapa hapa jukwaani.
Hahahaaa. Rafiki bwaana kwa nini usiwaze tofauti na ulicho kiwaza.

Inategemea bana. Ila nakushauri we omba tu mwenye nia ya kukupa atakupa tu na wala hawezi waza hivyo.
 
Back
Top Bottom