Uzi wa kwanza baada ya JamiiForums kurudi, ulimmiss nani na nini?

Uzi wa kwanza baada ya JamiiForums kurudi, ulimmiss nani na nini?

Ila wewe ulipotea kabla kuna mtu akafanana na wewe.

Hivi huko ukimbizini mbona wengine mmetutenga?
Duuh. Wapi huko jamaani nilikoanza kupotea Mkuu huku jf au?

Hahahaaa. Kulipoa sanaaa hivyo hata kusingewafaa jamaani. [emoji85] [emoji85]
 
Hahahaaaaa. Nadhani ni mie kama sijakosea au kuna mtu aliandika kummiss halafu mie nikaongezea nyama.
hapana ulienda direct kwenye point kwa hakika ulikuwa wewe [emoji3][emoji2]
 
Matatizo ni sehemu ya maisha, lkn tatizo la kuishi bila kuperuzi JF ni tatizo ambalo limenivuruga.

Haya haya wakuu tuambizane ,kipindi JF ilipofungiwa kwa wiki tatu hizi ni member yupi ulimmiss sana na kwa nini?

Tukutane hapa tulioimiss jf[emoji23][emoji23][emoji23]

Hureeeeeee

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
dah nilikuwa na arosto ya JF wiki tatu,Jana ndo nilitoka uhamishoni KENYA baada ya kufungua account ya dharura JamiiForums.com
 
hapana ulienda direct kwenye point kwa hakika ulikuwa wewe [emoji3][emoji2]
Hahahaaaa. Lol.

Ila huwa najikuta ananifurahisha tu kwani anajuaga kuwapa makavu Me bila kupepesa macho.
 
Back
Top Bottom