Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Duuh. Wapi huko jamaani nilikoanza kupotea Mkuu huku jf au?Ila wewe ulipotea kabla kuna mtu akafanana na wewe.
Hivi huko ukimbizini mbona wengine mmetutenga?
Hahahaaa. Kulipoa sanaaa hivyo hata kusingewafaa jamaani. [emoji85] [emoji85]