Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Na ukitaka vituko kama hivyo tuma namba 1763vituko hivi tulivimiss
Basi nitafurahiii karibu sanaAhahaha!! "Eti nimepata tabu sana" nikisikia huu msemo nabaki kucheka tu.
Nimetoka kidogo nyumbani Tanzania that's why hunipati kwenye simu but nikirudi I will let you know best, nikutoe hata dinner tu.
Uzi haunogi bila kapicha weka mkuu kapicha kunogesha Uzi wako
Nimekuja jamanDemiss njoo
Nilkuwa naenda kidogo kidogoMmh, labda kwa kuwa nilikuwa naingia Mara chache sana, ikawa sababu siku kuona.
kweli kule kulikuwa kugumu asee,ila sasa hivi tujiachie tuMiss u too. Kule pagumu. JF ilipokata na mie isidingo nikaiacha nikahamia world cup
Binafsi niliku miss pia[emoji131]Niliwamis kama wote yani
hahahaNamba ya simu ina matumizi mengi sio kutongozana tu. Nafikiri umuhimuvwa kupeana namba mmeuona sasa.
Kuna wambea huko walipo walikuwa kidogo wafe kwa kumiss jf
AiseeYani wanaume watanzania mnamatatizo makubwa,kila siku unalialia kwenye mitandao umeimis jf hivi mnaakili kweli nyie,huna kitu kapuku mkubwa unakaa nakulialia tu kila siku[emoji35] [emoji35]
Mwanaume tafuta pesa acha kulilia vitu vya kijinga utaolewa.
muwe na wkend njema
[emoji3][emoji3][emoji3]Niliwamiss sana popoz wazee wa jf usiku wa manane
Eeh! Emoj za njano na zakukimbia, ile kule ya kijani huku njazo afu zote rangi za chamaBila kusahau zile emoj zetu rafiki. Hahahaaaa.
Hahahaaa. Hebu usinifanye nicheke ujue.Loh
Usiseme hivyo rafiki, roho inaniuma sana kuwa mwanakijiji kwa kweli.
Hahahaaa. Rafiki bwaana kwa nini usiwaze tofauti na ulicho kiwaza.Aah, sipendagi kuomba namba mana humu ukiomba namba ya mtu tu basi hasa akiwa mwanamke basi akili yake moja kwa moja atajua unataka hifadhi, basi inakuwa taabu bora mambo yaende tu hapa hapa jukwaani.
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]kweli kule kulikuwa kugumu asee,ila sasa hivi tujiachie tu