Uzi wa kwanza baada ya JamiiForums kurudi, ulimmiss nani na nini?

Hahahaaa. Rafiki bwaana kwa nini usiwaze tofauti na ulicho kiwaza.

Inategemea bana. Ila nakushauri we omba tu mwenye nia ya kukupa atakupa tu na wala hawezi waza hivyo.
Aah, Shida yote yanini rafiki.
 
Hahahaaa. Hebu usinifanye nicheke ujue.

Hivyo baada ya kurudi nyumbani maumivu ndio yameongezeka. Lol.

Poleeeeeeee. Eeeee
Yaani, acha tu, mimi kuitwa mwanakijiji kwa kweli hii ni dharau kubwa sana hii.
 
Hhahaahhahahahahaahaa looh

Jambazi wa mahaba ni mie au Heaven Sent?

Habari ya miaka mingi? umenifanya nirejee kuangalia mwisho ilikuwa lini....

Thanks for the misses...
Hahahahah Heaven Sent hana makuu mnyaki wa watu usimuingize ktk hila sakata.

Hahaha kwema tu, ingawa tupo n'ngwe ya pili ya mwaka mpya sina budi kukutakia khery zake, vipi pilika zako?

Hope uko poa, Nimemiss kahawa tu 🙂
 
Hahahaha
 
Kasie's Coffee Shop.....
 
Nilimiss my brother BAK ukhuty barafu Kikulacho NIMPENDENANI Daby Kaveli lusungo izzo Mwanakijiji bila kumsahau jambazi wa huba Kasie Heaven Sent babu Asprin Kubota GAZETI Lizarazu na Members wote wa jamii forum
Navimbaje huku khaaa[emoji12] [emoji12] [emoji126] [emoji126]

Ulimissika pia mpendwa
Hahahahah Heaven Sent hana makuu mnyaki wa watu usimuingize ktk hila sakata.

Hahaha kwema tu, ingawa tupo n'ngwe ya pili ya mwaka mpya sina budi kukutakia khery zake, vipi pilika zako?

Hope uko poa, Nimemiss kahawa tu 🙂
 
Aisee nilipata tabu sana yani, ni kama mtu aliyefukuzwa kwao sikuwa na pa kwenda. Nilijaribu kufuatilia ile page yao ya instagram ila still kiu haikukata
 
niungeni basi hilo jukwaa la huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…