Uzi wa kwanza baada ya JamiiForums kurudi, ulimmiss nani na nini?

Hivyo hadi miee eee? [emoji85] [emoji85] [emoji85]
hahahahaha wewe tunaonana masaa24 dada nimekumis pia jana na leo ila kopa likiiva please nijulishe nina hamu nalo ile mbaya
 
Hahahaaa. Si wajua tena pirika haziishi ndio sababu nikawa busy jana. Pole mdogo wangu.

Usijali ntakwite mdogo wangu weye tena wakosaje Makopa ya nazi jamaani.
 
yaani nikiyakosa utaniuzi zaidi ya miaka sita sasa sijayala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…