Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,379
- 41,294
Haha bila shaka huyo jambazi wa mahaba ni wewe
Hahahahaha naona na yeye alimaanisha hivyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha bila shaka huyo jambazi wa mahaba ni wewe
Hivyo hadi miee eee? [emoji85] [emoji85] [emoji85]nami pia nilikumis Dilekeni pamoj na members wote wa jf
hahahahaha wewe tunaonana masaa24 dada nimekumis pia jana na leo ila kopa likiiva please nijulishe nina hamu nalo ile mbayaHivyo hadi miee eee? [emoji85] [emoji85] [emoji85]
nilihangaika vya kutoshaKama nakuona jamaani. Lol.
Hahahaaaa.
Hahahaaa. Si wajua tena pirika haziishi ndio sababu nikawa busy jana. Pole mdogo wangu.hahahahaha wewe tunaonana masaa24 dada nimekumis pia jana na leo ila kopa likiiva please nijulishe nina hamu nalo ile mbaya
Pole jamaani hatimaye tumerudi tena huku tusogoe. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]nilihangaika vya kutosha
yaani nikiyakosa utaniuzi zaidi ya miaka sita sasa sijayalaHahahaaa. Si wajua tena pirika haziishi ndio sababu nikawa busy jana. Pole mdogo wangu.
Usijali ntakwite mdogo wangu weye tena wakosaje Makopa ya nazi jamaani.
hahaha kabisa yaanPole jamaani hatimaye tumerudi tena huku tusogoe. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
looh mmelala kumbe
hahah tunayasubiri kwa hajar akiyaleta tu nitakupigia
Ewaaaaaaa.hahah tunayasubiri kwa hajar akiyaleta tu nitakupigia
Sent from my GT-I9060I using JamiiForums mobile app
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] nimecheka jamaani lol.
hahah team kukesha sie[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] nimecheka jamaani lol.
Naona usingizi ulikatika mdogo wangu. Hahahaaaa.
Hahahaaaa. Na kweli.hahah team kukesha sie