Haswaa mkuu home sweet homeAah kule kuna visa balaa, hata na hivyo tushukuru tupo TZ sasa
Utarudi siku nyingine kuwasabahiKule nimeondoka nikiwa villager huru
Yeah mkuu atleast nina amaniHaswaa mkuu home sweet home
shukuru tu ulijistiri kwa mdaa johKule huna hata uhuru halafu wengi kule ni wakenya ndio maana, wwngi wetu tulikuwa kule kwa kujishikiza tu ili kujifariji na kupotea kwa JF
Tusharudi hapa mwenza majibu ni valuers na surveyors. Ila Valuers ndo kama kina weweafu kule umeniacha hewan hujajibu msg yangu[emoji16]
Ni kweli baby shemshukuru tu ulijistiri kwa mdaa joh
ItakuwaHuyu kavurugwa
Huna wa kukutoa out leo nn?
teeh ntakufuata pm kwa maelezo vzrTusharudi hapa mwenza majibu ni valuers na surveyors. Ila Valuers ndo kama kina wewe
Mwambie uyo au toka jf isepe hakupata wa kumgegeda niniWaacheni jamani walitumiss mabeb zao humu
Maana ukisoma vzr taarifa ya Max ,wamesaini kisha wametoa mapendekezo,ila haisemi km wamejibiwaHilo nalo neno