Uzi wa kwanza baada ya JamiiForums kurudi, ulimmiss nani na nini?

Uzi wa kwanza baada ya JamiiForums kurudi, ulimmiss nani na nini?

Wengine bado wako ukimbizini hawajashtuka kama JF imerudi
 
Aliyekwambia sisi tukikuwa tunalialia ni nani? Sisi tulikuwa tunataka Uhuru wa kuwasilisha mawazo yetu kama wewe ulivyofanya hapo na hakuna aliyekuwa akilia lia kama wewe unavyodai! Siku nyingine kaa chini ufikirishe zaidi ubongo wako! And remember brain is mostly beautiful part of you're body! So be wise, be humble, be enthusiast, be polite, be intelligent and make sure you do something in a right truck
 
Back
Top Bottom