Uzi wa kwanza baada ya JamiiForums kurudi, ulimmiss nani na nini?

Taarifa yao kwenye mitandao mingine. Na hii ndo comment yangu ya kwanza JF.. Asante
 
mi nilikuwa nasoma threads za zamani ghafla nikaona post yao. tuwe wavumilivu mda mchache baadae tutakuwa online.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…