Kweli mkuu, lakini negativity yake kuhusu wanaume imevuka mipaka japo hawezi kuathiri watu wanaojielewaJf ni zaidi ya hvyo anavyofikiri yeye!
Kuna watu jf ni eneo lao La kazi,maisha yao...n.k!
Hayo yake hayanihusu ya kwake ila la jf ilimisiwa na watu wote!Kweli mkuu, lakini negativity yake kuhusu wanaume imevuka mipaka japo hawezi kuathiri watu wanaojielewa
Tujitahidi kukaa na wapishi kwa umakini. Mihuni haikawii kutia sumu kwenye kachori yetu.Wote tuliokuwa uhamishoni nchi ya jirani, turudi nyumbani kumenoga
Brother brother
Unajishusha village elderMimi nitaendela na Uvillager wangu kule pia
Nimeuliza hii kitu,sijajibiwaJe usalama upo? Dare talking openly ipo kweli? Au itakua kamata kamata.